Isaiah 45:5-6

5 aMimi ndimi Bwana, wala hakuna mwingine,
zaidi yangu hakuna Mungu.
Nitakutia nguvu,
ingawa wewe hujanitambua,
6 bili kutoka mawio ya jua
mpaka machweo yake,
watu wapate kujua kwamba hakuna Mungu mwingine ila Mimi.
Mimi ndimi Bwana wala hakuna mwingine.
Copyright information for SwhNEN